Matendo 3:14 - Swahili Revised Union Version14 Bali ninyi mlimkana yule Mtakatifu, yule Mwenye haki, mkataka mpewe mwuaji; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini nyinyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini nyinyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini nyinyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Ninyi mlimkataa huyo Mtakatifu na Mwenye Haki, mkaomba mpewe yule muuaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Ninyi mlimkataa huyo Mtakatifu na Mwenye Haki mkaomba mpewe yule muuaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Bali ninyi mlimkana yule Mtakatifu, yule Mwenye haki, mkataka mpewe mwuaji; Tazama sura |