Matendo 21:36 - Swahili Revised Union Version36 Maana kundi kubwa la watu wakamfuata, wakipiga kelele, na kusema, Na aondolewe mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Kwa maana watu kundi kubwa walimfuata wakipiga kelele, “Mwulie mbali!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Umati wa watu waliofuata waliendelea kupaza sauti na kusema, “Mwondoe huyu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Umati wa watu ulikuwa ukifuata ukiendelea kupiga kelele ukisema, “Mwondoe huyu!” Tazama sura |