Luka 23:18 - Swahili Revised Union Version18 Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyu! Tufungulie Baraba!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. Tazama sura |