Pilato akawaambia, Kwani ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulubishe.
Luka 23:13 - Swahili Revised Union Version Na Pilato akawakutanisha wakuu wa makuhani, na wakubwa, na watu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Pilato akaitisha mkutano wa makuhani wakuu, viongozi na watu, Biblia Habari Njema - BHND Basi, Pilato akaitisha mkutano wa makuhani wakuu, viongozi na watu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Pilato akaitisha mkutano wa makuhani wakuu, viongozi na watu, Neno: Bibilia Takatifu Basi Pilato akawaita pamoja viongozi wa makuhani, viongozi wengine na watu, Neno: Maandiko Matakatifu Basi Pilato akawaita pamoja viongozi wa makuhani, viongozi wengine na watu, BIBLIA KISWAHILI Na Pilato akawakutanisha wakuu wa makuhani, na wakubwa, na watu, |
Pilato akawaambia, Kwani ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, Msulubishe.
Watu wakasimama wakitazama. Wale wakuu nao walikuwa wakimfanyia mzaha, wakisema, Aliokoa wengine; na ajiokoe mwenyewe, kama ndiye Kristo wa Mungu, mteule wake.
tena jinsi wakuu wa makuhani na wakubwa wetu walivyomtia katika hukumu ya kufa, wakamsulubisha.
Lakini hata katika wakuu walikuwamo wengi waliomwamini; lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakumkiri, wasije wakatengwa na sinagogi.
Pilato akamwambia, Kweli ni nini? Naye akiisha kusema neno hilo akawatokea Wayahudi tena, akawaambia, Mimi sioni hatia yoyote kwake.
Kisha Pilato akatokea tena nje, akawaambia, Mtu huyu namleta nje kwenu, mpate kufahamu ya kuwa mimi sioni hatia yoyote kwake.
Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Inawezekana hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?
Kwa maana wakaao Yerusalemu, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua yeye, wala maneno ya manabii yanayosomwa kila sabato, wameyatimiza kwa kumhukumu.
Basi sasa, ndugu, najua ya kuwa mliyatenda haya kwa kutokujua kwenu, kama na wakuu wenu walivyotenda.
Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia, Enyi wakubwa wa watu na wazee wa Israeli,