Kisha ataweka mkono wake juu ya kichwa cha hiyo sadaka ya kuteketezwa; nayo itakubaliwa kwa ajili yake, ili kufanya upatanisho kwa ajili yake.
Hesabu 8:10 - Swahili Revised Union Version nawe utawaleta Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Biblia Habari Njema - BHND Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Neno: Bibilia Takatifu Utawaleta Walawi mbele za Mwenyezi Mungu, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi. Neno: Maandiko Matakatifu Utawaleta Walawi mbele za bwana, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi. BIBLIA KISWAHILI nawe utawaleta Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi; |
Kisha ataweka mkono wake juu ya kichwa cha hiyo sadaka ya kuteketezwa; nayo itakubaliwa kwa ajili yake, ili kufanya upatanisho kwa ajili yake.
Uwaweke Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza katika wana wa Israeli, na wanyama wa Walawi badala ya wanyama wao; na hao Walawi watakuwa wangu mimi; mimi ndimi BWANA.
Usiache kuitumia karama ile iliyomo ndani yako, uliyopewa kwa unabii na kwa kuwekewa mikono na wazee.
Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi.