Hesabu 8:9 - Swahili Revised Union Version9 Nawe utawaleta Walawi mbele ya hema ya kukutania; nawe utauitisha mkutano wote wa wana wa Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kisha utawakusanya watu wote wa Israeli na kuwaleta Walawi mbele ya hema la mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Walete Walawi mbele ya Hema la Kukutania na ukusanye jumuiya yote ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Walete Walawi mbele ya Hema la Kukutania na ukusanye jumuiya yote ya Waisraeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Nawe utawaleta Walawi mbele ya hema ya kukutania; nawe utauitisha mkutano wote wa wana wa Israeli; Tazama sura |