Hesabu 8:10 - Swahili Revised Union Version10 nawe utawaleta Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Utakapowaleta Walawi mbele yangu, Waisraeli watawawekea Walawi mikono, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Utawaleta Walawi mbele za Mwenyezi Mungu, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Utawaleta Walawi mbele za bwana, na Waisraeli wataweka mikono yao juu ya Walawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 nawe utawaleta Walawi mbele za BWANA; kisha wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi; Tazama sura |