Walawi 4:15 - Swahili Revised Union Version15 Kisha wazee wa mkutano wataweka mikono yao kichwani mwake huyo ng'ombe mbele za BWANA; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wazee wa jumuiya ya watu wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali, kisha atachinjwa mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali mbele za Mwenyezi Mungu, naye huyo fahali atachinjwa mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali aliye mbele za bwana, naye fahali atachinjwa mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kisha wazee wa mkutano wataweka mikono yao kichwani mwake huyo ng'ombe mbele za BWANA; Tazama sura |