Hesabu 3:33 - Swahili Revised Union Version Katika Merari ni jamaa ya hao Wamahli, na jamaa ya Wamushi; hizo ni jamaa za Merari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Biblia Habari Njema - BHND Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Neno: Bibilia Takatifu Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari. BIBLIA KISWAHILI Katika Merari ni jamaa ya hao Wamahli, na jamaa ya Wamushi; hizo ni jamaa za Merari. |
Wana wa Merari; Mali, na Mushi. Na hizi ndizo jamaa za Walawi, kulingana na koo za baba zao.
Hizi ndizo jamaa za Lawi; jamaa ya Walibni, na jamaa ya Wahebroni, na jamaa ya Wamala, na jamaa ya Wamushi jamaa ya Wakora. Na Kohathi alimzaa Amramu.
Na wana wa Merari kwa jamaa zao ni Mahli, na Mushi. Hizi ndizo jamaa za Walawi kwa nyumba za baba zao.
Na Eleazari mwana wa Haruni kuhani atakuwa mkuu wa hao wakuu wa Walawi, naye atawasimamia hao wahudumu wa mahali patakatifu.
Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili.