Hesabu 3:33 - Swahili Revised Union Version33 Katika Merari ni jamaa ya hao Wamahli, na jamaa ya Wamushi; hizo ni jamaa za Merari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Familia za Wamahli na Wamushi zilitokana na Merari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Kwa Merari kulikuwa na koo za Wamahli na Wamushi; hizi zilikuwa koo za Merari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Katika Merari ni jamaa ya hao Wamahli, na jamaa ya Wamushi; hizo ni jamaa za Merari. Tazama sura |