Hesabu 3:34 - Swahili Revised Union Version34 Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Hesabu ya wanaume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa, walikuwa elfu sita na mia mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Hesabu ya waume wote wenye umri wa mwaka mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 6,200. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili. Tazama sura |