Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 3:35 - Swahili Revised Union Version

35 Na mkuu wa nyumba ya baba za jamaa za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hao watapiga kambi upande wa maskani, wa kaskazini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Mkuu wa ukoo wa familia za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa walitakiwa kupiga kambi yao upande wa kaskazini wa hema takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Mkuu wa ukoo wa familia za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa walitakiwa kupiga kambi yao upande wa kaskazini wa hema takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Mkuu wa ukoo wa familia za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa walitakiwa kupiga kambi yao upande wa kaskazini wa hema takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kiongozi wa jamaa za koo za Wamerari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili. Hawa walitakiwa kuweka kambi zao upande wa kaskazini mwa Maskani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kiongozi wa jamaa za koo za Wamerari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa walitakiwa kuweka kambi zao upande wa kaskazini mwa Maskani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Na mkuu wa nyumba ya baba za jamaa za Merari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hao watapiga kambi upande wa maskani, wa kaskazini.

Tazama sura Nakili

Hesabu 3:35
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Walawi watapanga hema zao kuizunguka maskani ya ushahidi pande zote, ili zisiwe hasira juu ya mkutano wa wana wa Israeli; kisha Walawi wahudumu katika hiyo Hema Takatifu.

Upande wa kaskazini kutakuwa na bendera ya kambi ya Dani kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Dani atakuwa Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Na hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu sita na mia mbili.

Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo