Hesabu 3:36 - Swahili Revised Union Version36 Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Wamerari waliwekwa kutunza miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo, vitako na vifaa vyake vyote na kila kitu kilichohusika na matumizi yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Na usimamizi walioamriwa wana wa Merari ulikuwa ni kutunza mbao za maskani, na mataruma yake, na nguzo zake, na vitako vyake, na vyombo vyake vyote, na utumishi wake wote; Tazama sura |