Hesabu 4:29 - Swahili Revised Union Version29 Katika habari ya wana wa Merari, utawahesabu kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 “Kadhalika, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na koo zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 “Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 “Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Katika habari ya wana wa Merari, utawahesabu kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao; Tazama sura |