wale waliohesabiwa katika kabila la Manase, walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili (32,200).
Hesabu 2:21 - Swahili Revised Union Version na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu thelathini na mbili na mia mbili. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 32,200. BIBLIA KISWAHILI na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili; |
wale waliohesabiwa katika kabila la Manase, walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili (32,200).
Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;
tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni;
Hawa ndizo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba.