Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 2:20 - Swahili Revised Union Version

20 Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: Kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: Kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mara tu baada ya Waefraimu litafuata kabila la Manase: kiongozi wake akiwa Gamalieli, mwana wa Pedasuri,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kabila la Manase litafuata baada ya Efraimu. Kiongozi wa watu wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;

Tazama sura Nakili

Hesabu 2:20
6 Marejeleo ya Msalaba  

Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Manase ni Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na mia tano.

na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili;

Siku ya nane Gamalieli mwana wa Pedasuri, mkuu wa wana wa Manase;

tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Gamalieli mwana wa Pedasuri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo