Hesabu 2:19 - Swahili Revised Union Version19 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 32,200. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kundi lake lina watu elfu arobaini na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kundi lake lina watu 40,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na mia tano. Tazama sura |