Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 2:21 - Swahili Revised Union Version

21 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa watu 32,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kundi lake lina watu elfu thelathini na mbili na mia mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kundi lake lina watu 32,200.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na mbili na mia mbili;

Tazama sura Nakili

Hesabu 2:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

wale waliohesabiwa katika kabila la Manase, walikuwa watu elfu thelathini na mbili na mia mbili (32,200).

Na karibu naye itakuwa kabila la Manase; na mkuu wa wana wa Manase atakuwa Gamalieli mwana wa Pedasuri;

tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni;

Hawa ndizo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo