Hesabu 2:22 - Swahili Revised Union Version22 tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hatimaye kabila la Benyamini: Kiongozi wake ni Abidani, mwana wa Gideoni, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hatimaye kabila la Benyamini: Kiongozi wake ni Abidani, mwana wa Gideoni, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hatimaye kabila la Benyamini: kiongozi wake ni Abidani, mwana wa Gideoni, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 tena kabila la Benyamini; na mkuu wa wana wa Benyamini atakuwa Abidani mwana wa Gideoni; Tazama sura |