Hesabu 2:23 - Swahili Revised Union Version23 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na tano na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 35,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 35,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 35,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kundi lake lina watu elfu thelathini na tano na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kundi lake lina watu 35,400. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu thelathini na tano na mia nne. Tazama sura |