Hesabu 26:34 - Swahili Revised Union Version34 Hawa ndizo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Hizo ndizo koo za Manase, jumla wanaume 52,700. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Hizo zilikuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa elfu hamsini na mbili na mia saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Manase; wale waliohesabiwa walikuwa 52,700. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Hawa ndiyo jamaa wa Manase; na waliohesabiwa kwao walikuwa ni elfu hamsini na mbili na mia saba. Tazama sura |