Hesabu 26:35 - Swahili Revised Union Version35 Na wana wa Efraimu kwa jamaa zao; wa Shuthela, jamaa ya Washuthela; wa Beredi, jamaa ya Waberedi; wa Tahathi, jamaa ya Watahathi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Kabila la Efraimu lilikuwa na jamaa za Shuthela, Bekeri na Tahani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Kabila la Efraimu lilikuwa na jamaa za Shuthela, Bekeri na Tahani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Kabila la Efraimu lilikuwa na jamaa za Shuthela, Bekeri na Tahani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao: kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela; kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri; kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao: kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela; kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri; kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Na wana wa Efraimu kwa jamaa zao; wa Shuthela, jamaa ya Washuthela; wa Beredi, jamaa ya Waberedi; wa Tahathi, jamaa ya Watahathi. Tazama sura |