Hesabu 26:36 - Swahili Revised Union Version36 Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Ukoo wa Erani ulikuwa na jamaa ya Shuthela. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Hawa walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Hawa ndio walikuwa wazao wa Shuthela: kutoka kwa Erani, ukoo wa Waerani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Na wana wa Shuthela ni hawa; wa Erani, jamaa ya Waerani. Tazama sura |