Hesabu 26:37 - Swahili Revised Union Version37 Hawa ndio jamaa wa wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Hizo ndizo koo za Efraimu, jumla wanaume 32,500. Zote hizo zilitokana na Yosefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Hizo zilikuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao walikuwa wazao wa Yusufu kwa koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Efraimu; wale waliohesabiwa walikuwa 32,500. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yusufu kwa koo zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Hawa ndio jamaa wa wana wa Efraimu kama waliohesabiwa kwao, elfu thelathini na mbili na mia tano. Hao ndio wana wa Yusufu kwa jamaa zao. Tazama sura |