wale waliohesabiwa katika kabila la Simeoni, walikuwa watu elfu hamsini na tisa na mia tatu (59,300).
Hesabu 2:13 - Swahili Revised Union Version na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na tisa na mia tatu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 59,300. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 59,300. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 59,300. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu hamsini na tisa na mia tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 59,300. BIBLIA KISWAHILI na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na tisa na mia tatu; |
wale waliohesabiwa katika kabila la Simeoni, walikuwa watu elfu hamsini na tisa na mia tatu (59,300).
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Simeoni; na mkuu wa wana wa Simeoni atakuwa Shelumieli mwana wa Suri-shadai;