Hesabu 26:14 - Swahili Revised Union Version14 Hawa ndizo jamaa wa Wasimeoni, watu elfu ishirini na mbili na mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hizo ndizo koo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume 22,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa watu elfu ishirini na mbili na mia mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Hawa ndiyo jamaa wa Wasimeoni, watu elfu ishirini na mbili na mia mbili. Tazama sura |