wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arubaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja.
Hesabu 2:11 - Swahili Revised Union Version Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na sita na mia tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu arobaini na sita na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 46,500. BIBLIA KISWAHILI Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arobaini na sita na mia tano. |
wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arubaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja.
Upande wa kusini kutakuwa na bendera ya kambi ya Reubeni kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Reubeni atakuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Simeoni; na mkuu wa wana wa Simeoni atakuwa Shelumieli mwana wa Suri-shadai;
Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini.