Yona 2:1 - Swahili Revised Union Version Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, akiwa katika tumbo la yule samaki, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Neno: Bibilia Takatifu Akiwa ndani ya tumbo la samaki, Yona alimwomba Mwenyezi Mungu, Mungu wake. Neno: Maandiko Matakatifu Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba bwana Mwenyezi Mungu wake. BIBLIA KISWAHILI Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, akiwa katika tumbo la yule samaki, |
BWANA, katika taabu zao walikwenda kwako; waliomba maombi mengi wakati adhabu yako ilipokuwa juu yao.
Nitakwenda zangu niparudie mahali pangu, hata watakapoungama makosa yao na kunitafuta uso wangu; katika taabu yao watanitafuta kwa bidii.
Kuna mtu miongoni mwenu anayeteseka? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.