Yona 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, akiwa katika tumbo la yule samaki, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Akiwa ndani ya tumbo la samaki, Yona alimwomba Mwenyezi Mungu, Mungu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba bwana Mwenyezi Mungu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, akiwa katika tumbo la yule samaki, Tazama sura |