Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Yohana 8:5 - Swahili Revised Union Version

Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje?

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, hadi wafe. Sasa wewe wasemaje?”

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?”

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje?

Tazama sura
Tafsiri zingine

Yohana 8:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.

Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.

Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.