Walawi 20:10 - Swahili Revised Union Version10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Kama mwanamume akizini na mke wa jirani yake, ni lazima wote wawili wauawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. Tazama sura |