Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yohana 8:5 - Swahili Revised Union Version

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, hadi wafe. Sasa wewe wasemaje?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje?

Tazama sura Nakili

Yohana 8:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na kusanyiko hilo watawapiga kwa mawe, na kuwaua kwa panga zao; watawaua wana wao na binti zao, na kuziteketeza nyumba zao kwa moto.

Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.

Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo