Yohana 11:17 - Swahili Revised Union Version Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Neno: Bibilia Takatifu Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. Neno: Maandiko Matakatifu Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. BIBLIA KISWAHILI Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. |
Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne.