Yohana 11:18 - Swahili Revised Union Version18 Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa yamkini maili mbili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi; Tazama sura |