Yohana 11:17 - Swahili Revised Union Version17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Isa alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne. Tazama sura |