Yohana 11:39 - Swahili Revised Union Version39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Isa akasema, “Liondoeni jiwe.” Martha dada yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Isa akasema, “Liondoeni hilo jiwe.” Martha, ndugu yake yule aliyekuwa amekufa, akasema, “Lakini Bwana Isa, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Tazama sura |