Hosea 6:2 - Swahili Revised Union Version2 Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, nasi tutaishi mbele zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Baada ya siku mbili, atatupa uhai tena, naam, siku ya tatu atatufufua ili tuweze kuishi pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Baada ya siku mbili, atatupa uhai tena, naam, siku ya tatu atatufufua ili tuweze kuishi pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Baada ya siku mbili, atatupa uhai tena, naam, siku ya tatu atatufufua ili tuweze kuishi pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Baada ya siku mbili atatufufua; katika siku ya tatu atatuinua, ili tuweze kuishi mbele zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Baada ya siku mbili atatufufua; katika siku ya tatu atatuinua, ili tuweze kuishi mbele zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Baada ya siku mbili atatufufua; siku ya tatu atatuinua, nasi tutaishi mbele zake. Tazama sura |