Yobu 4:1 - Swahili Revised Union Version Ndipo huyo Elifazi, Mtemani, akajibu na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Elifazi yule Mtemani akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Elifazi yule Mtemani akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Elifazi yule Mtemani akamjibu Yobu: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo huyo Elifazi, Mtemani, akajibu na kusema, |
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.
Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene?
Basi Elifazi, Mtemani, na Bildadi, Mshuhi, na Sofari, Mnaamathi, wakaenda, wakafanya kama vile BWANA alivyowaamuru; naye BWANA akamridhia Ayubu.
Kuhusu Edomu. BWANA wa majeshi asema hivi, Je! Hakuna tena hekima katika Temani? Mashauri yamewapotea wenye busara? Je! Imetoweka hekima yao?