Yobu 4:2 - Swahili Revised Union Version2 Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe, kutakukasirisha? Lakini ni nani awezaye kujizuia asiseme? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe, kutakukasirisha? Lakini ni nani awezaye kujizuia asiseme? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene? Tazama sura |