Yobu 3:26 - Swahili Revised Union Version26 Mimi sioni raha, wala situlii, wala kupumzika; Lakini taabu huja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Sina amani wala utulivu; sipumziki, taabu imenijia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Sina amani wala utulivu; sipumziki, taabu imenijia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Sina amani wala utulivu; sipumziki, taabu imenijia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.” Tazama sura |