Waefeso 5:7 - Swahili Revised Union Version Basi msishirikiane nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, msishirikiane nao. Biblia Habari Njema - BHND Basi, msishirikiane nao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, msishirikiane nao. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo, msishirikiane nao. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo, msishirikiane nao. BIBLIA KISWAHILI Basi msishirikiane nao. |
Akasema na mkutano, na kuwaambia, Nawasihi, ondokeni penye hema za hawa watu waovu, wala msiguse kitu chao chochote, msiangamizwe katika dhambi zao zote.
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
ya kwamba Mataifa ni warithi pamoja nasi wa urithi mmoja, na wa mwili mmoja, na washiriki pamoja nasi wa ahadi yake iliyo katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili;
Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.