Waefeso 5:11 - Swahili Revised Union Version11 Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Msishiriki katika matendo yasiyofaa ya giza, bali yafichueni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee; Tazama sura |