Ufunuo 3:13 - Swahili Revised Union Version Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Biblia Habari Njema - BHND “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Neno: Bibilia Takatifu Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini. BIBLIA KISWAHILI Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. |
Nyingine zikaanguka penye udongo mzuri; zikamea, zikazaa moja kwa mia. Alipokuwa akinena hayo alipaza sauti akisema, Mwenye masikio ya kusikizia, na asikie.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.