Nehemia 7:29 - Swahili Revised Union Version Watu wa Kiriath-Yearimu, na Kefira, na Beerothi, mia saba arubaini na watatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa miji ya Kiriath-yearimu, Kefira na Beerothi: 743; Biblia Habari Njema - BHND wa miji ya Kiriath-yearimu, Kefira na Beerothi: 743; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa miji ya Kiriath-yearimu, Kefira na Beerothi: 743; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi, mia saba arobaini na watatu (743); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Kiriath-Yearimu, na Kefira, na Beerothi, mia saba arobaini na watatu. |
Kisha wana wa Israeli walisafiri, wakaifikia miji ya watu hao siku ya tatu. Basi miji ya watu hao ilikuwa ni hii, Gibeoni, na Kefira, na Beerothi, na Kiriath-yearimu.
Wakakwea juu na kupiga kambi huko Kiriath-yearimu, katika Yuda; kwa sababu hiyo wakapaita mahali pale jina lake Mahane-dani hata hivi leo; tazama, ni hapo nyuma ya Kiriath-yearimu.