Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi.
Nehemia 11:35 - Swahili Revised Union Version Lodi, na Ono, lililokuwa bonde la mafundi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Mafundi. Biblia Habari Njema - BHND Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Mafundi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Mafundi. Neno: Bibilia Takatifu katika Lodi na Ono, na katika Bonde la Mafundi. Neno: Maandiko Matakatifu katika Lodi na Ono, na katika Bonde la Mafundi. BIBLIA KISWAHILI Lodi, na Ono, lililokuwa bonde la mafundi. |
Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi.
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Lakini wakakusudia kunifanyia mabaya.
Wakati Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawateremkia na watakatifu waliokaa Lida.