Nehemia 11:36 - Swahili Revised Union Version36 Na wa Walawi, wengine walikaa katika Yuda na wengine katika Benyamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Baadhi ya Walawi wa Yuda walichanganyikana na watu wa Benyamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Baadhi ya makundi ya Walawi wa Yuda waliishi huko Benyamini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Na wa Walawi, wengine walikaa katika Yuda na wengine katika Benyamini. Tazama sura |