Ikawa baada ya miaka miwili mizima, Absalomu alikuwa na wenye kukata manyoya ya kondoo huko Baal-hasori uliopo upande wa Efraimu; naye Absalomu akawaalika wana wote wa mfalme.
Nehemia 11:33 - Swahili Revised Union Version Hazori, Rama, Gitaimu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hazori, Rama, Gitaimu, Biblia Habari Njema - BHND Hazori, Rama, Gitaimu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hazori, Rama, Gitaimu, Neno: Bibilia Takatifu katika Hazori, Rama na Gitaimu, Neno: Maandiko Matakatifu katika Hazori, Rama na Gitaimu, BIBLIA KISWAHILI Hazori, Rama, Gitaimu; |
Ikawa baada ya miaka miwili mizima, Absalomu alikuwa na wenye kukata manyoya ya kondoo huko Baal-hasori uliopo upande wa Efraimu; naye Absalomu akawaalika wana wote wa mfalme.
na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Gitaimu, ndipo wanapokaa kama wageni hata hivi leo.)
Sauti ilisikiwa Rama, Kilio na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, Asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawapo tena.
Kisha alikuwa akirudi Rama; maana ndipo ilipokuwa nyumba yake; nako ndiko alikowaamua Waisraeli; na huko akamjengea BWANA madhabahu.