2 Samueli 4:3 - Swahili Revised Union Version3 na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Gitaimu, ndipo wanapokaa kama wageni hata hivi leo.) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni mpaka siku hii ya leo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Gitaimu, ndipo wanapokaa kama wageni hata hivi leo.) Tazama sura |