Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake;
Nehemia 11:32 - Swahili Revised Union Version Anathothi, Nobu, Anania; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wengine walikaa Anathothi, Nobu, Anania, Biblia Habari Njema - BHND Wengine walikaa Anathothi, Nobu, Anania, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wengine walikaa Anathothi, Nobu, Anania, Neno: Bibilia Takatifu katika Anathothi, Nobu na Anania, Neno: Maandiko Matakatifu katika Anathothi, Nobu na Anania, BIBLIA KISWAHILI Anathothi, Nobu, Anania; |
Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake;
siku hii ya leo atasimama huko Nobu; anatikisa mkono wake juu ya mlima wa binti Sayuni, mlima wa Yerusalemu.
Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini;
na Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Almoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Basi Daudi akaenda Nobu kwa Ahimeleki, kuhani. Ahimeleki akaenda kumlaki Daudi, akitetemeka, akamwambia, Kwa nini uko peke yako, wala hapana mtu pamoja nawe?
Daudi akamwambia Ahimeleki, kuhani, Mfalme ameniagiza shughuli, akaniambia, Asijue mtu awaye yote habari ya shughuli hii ninayokutuma, wala ya neno hili ninalokuamuru; nami nimewaagiza vijana waende mahali fulani.
Kisha akaupiga Nobu, mji wa makuhani, kwa makali ya upanga, wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, na ng'ombe, na punda, na kondoo.