Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Mwanzo 9:29 - Swahili Revised Union Version Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Biblia Habari Njema - BHND kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950. Neno: Bibilia Takatifu Nuhu aliishi jumla ya miaka mia tisa na hamsini, ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Nuhu alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa. |
Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.
Miaka ya maisha yetu ni sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Tena kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana wakati unapita upesi nasi kutokomea punde.